Monday, January 23, 2012

NAPE KWENYE BONANZA LA WAFANYAKAZI WA WA SAHARA COMMUNICATIONS LTD MWANZA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki mchezo wa kuvutana kwa kamba na wafanyakazi wa Sahara Communications Ltd, wakati wa Bonanza la wafanyakazi hao kwenye ufukwe wa ziwa Victoria jijini Mwanza.

Hawa ndiyo vimwana wa Sahara Communication hebu wacheki katika pozi hii ya picha wakishangilia.

Wanawake wakishindana kuvuta kamba katika bonaza hilo.

Nape na baadhi ya wafanyakazi wa sahara wakishangilia baada ya kundi lao kuwashinda wengine katika kuvuta kamba.

No comments:

Post a Comment