To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, January 10, 2012

Paypoint kutumika kulipia mitihani NECTA

Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa  Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea 9 kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.

No comments: