AJALI MBAYA YATOKEA USIKU HUU MAENEO YA IWAMBI MBEYA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO
Ajali mbaya imetokea usiku huu barabara ya kuelekea tunduma eneo la iwambi kati ya gari aina ya toyota hilux na daladala aina ya toyota hiace mtu mmoja amefariki ambaye alikua dereva wa gari pick up toyota hilux na majeruhi wanne waliokuwa kwenye dala dala hilo
Mke wa mmiliki wa basi la dala dala akilia kwa uchungu kuwa gari hiyo haijamaliza hata wiki tangu wanunue inapata ajali analia akisema sasa umaskini umeingia katika familia yao
No comments:
Post a Comment