To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, March 7, 2012

CDF na IGP Kwenye Mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi

Mkuu wa Majesh ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akitoa Mada jana katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akizungumza na Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi jana baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Mwema. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi jana baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Said A. Mwema akifafanua jambo jana katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

No comments: