Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana Longinus Rutasitara akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wapili kushoto anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu. |
No comments:
Post a Comment