To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, March 1, 2012

Mratibu wa MKURABITA aagwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA na Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.

Baadhi ya wafanyakazi Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) wakitoa zawadi ya Kompyuta jana jijini Dar es salaam kwa aliyekuwa Mratibu wa MKURATIBA Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.

Naibu Katibu Mkuu Ikulu Susan Mlawi akihutubia jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011

Mratibu wa MKURABITA akitoa neno la utangulizi jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.

Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mstaafau Mhandisi Ladislaus Lema akitoa neno la shukurani jana jijini Dare s salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga baada kustaafu rasmi Desemba 2011 wakati wa sherehe fupi iliyoandaliwa na Ofisi ya MKURABITA.

No comments: