To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, March 6, 2012

Pinda Atembelea EPZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipandisha mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda kwenye Mamlaka ya Maeneo Maaluum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) Mabibo jijini Dar es salaam Mach 6, 2012 kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa EPZE. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Dr. Adhelm Meru (kulia)kutelemka kutoka kwenye Mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda kwenye eneo hilo Mabibo jijini Dar es salaam Machi 6, kuzindua Bodi ya EPZA. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: