![]() |
Wananchi wa Arumeru Mashariki wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM. |
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akizungumza. |
![]() |
Masanja wa Orijino Komedi akifanya manjonjo yake mbele ya umati, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM |
![]() |
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akizindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki jana katika Uwanja wa Ngaresero. (Picha zote na Bashir Nkoromo) |
![]() |
Pamela Sioi Sumari akimnadi mumewe Sioi Sumari wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo za CCM. Pamela ni mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa. |
No comments:
Post a Comment