Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Konyagi Nchini Bwana David Mgwasa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kwenye dhifa ya kukabidhi vyerehani kwa vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeya vilivyokabidhiwa kwa Dr Marry Mwanjelwa Mbunge Viti maalum Mkoa wa Mbeya. |
No comments:
Post a Comment