To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, October 31, 2011

JK amteua Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, jana amemteua Ladislaus Mwamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Kwa mujibu wa taarifa ya iliyotumwa kwa vyombo vya habari leo kutoka Ikulu inaeleza kuwa uteuzi wa Mwamanga unaanza Novemba Mosi, 2011 kutumikia nafasi yake.

Hata hivyo, kabla ya uteuzi huo Mwamanga alikuwa Meneja wa Mifumo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF.

No comments: