Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkabidhi msaada wa madawati Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwongozo Elly Shuma kwa niaba ya walimu wenzake wa shule tano zilizonufaika na msaada huo wa madawati 225 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni ishirini na ishirini na tano elfu (20,25,000)kwa shule tano za wilaya ya Kinondoni na Ilala,Jumla ya madawati Elfu moja yenye thamani ya Milion 90 yametolewa msaada kwa shule 20 za Mkoa wa Dares Salaam mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment