To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Saturday, October 22, 2011

JK Atunukiwa Digrii Ya Udaktari Wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya shukrani muda mfupi baada ya kutunikiwa Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) katika Mahafali ya Arobaini na moja ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyofanyika katika  katika ukumbi wa mlimani city

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura akimtukunu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete digrii ya Heshima ya Udaktari wa sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) wakati wa Mahafali ya Arobaini na moja ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.Wakati wa Mahafali hayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda alitunukiwa digrii ya Heshima Ya Udaktari wa Fasihi(Doctor of Literature Honoris Causa).Kushoto ni makamu mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mukandala.

No comments: