To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Sunday, October 23, 2011

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KILELE CHA MIAKA 50 YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Naibu Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asharose Migiro.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Mohammed Chande.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa kwanza wa kike wa Taaluma ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julie Manning.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri Afrika Mashariki, Samuel Sitta.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa kwanza wa Taaluma ya Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Miruka Owuor.

No comments: