To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, October 20, 2011

Kikwete na Rais Museveni Waongoza Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya UDSM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za kilele cha kuadhimisha miaka hamsini 50 ya kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam zilizofanyika katika ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es Salaam jana mchana.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiingia katika ukumbi wa Nkurumah kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Balozi Fulgence Kazaura na kulia ni Makamu mkuu wa chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala

No comments: