WAZIRI WA MAFUNZO NA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI DR. SHUKURU KAWAMBWA AZINDUA GARI LA ELIMU YA WAZI LA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Bagamoyo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akizindua Gari la Matangazo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uwanja wa Top-Top mjini Bagamoyo jana. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Emanuel Humba.
Akizindua rasmi kwa kulipanda gari la matangazo la mfuko wa afya ya jamii katika viwanja vya TOP-TOP kuashiria utekelezaji wa mpango kabambe wa serikali kuwashirikisha wananchi katika kusimamia na kuchangia huduma za matibabu kwenye halmashauri zao ni Mbunge wa Bagamoyo na Waziri wa Elimu na ya Ufundi
No comments:
Post a Comment