Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka (kushoto) akishikana mikono na Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru katika hafla ambayo Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilisaini hati za makubaliano kuhusu mikopo ya nyumba na benki saba nchini. Benki hizo ni NBC, NMB, BOA, EXIM, Azania, KCB na CBA. Wa pili kushoto ni Naibu Gavana wa Benki Kuu (BoT) Lila Mkila na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye. |
No comments:
Post a Comment