To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, October 25, 2011

Tangazo La Msiba London: Mrisho Senga Amefariki Dunia

Bw Mrisho Senga Mlela wa London UK, anasikitika kuwatangazia kifo cha mwanawe Ahmed Mrisho Senga (pichani) kilichotokea ghafla huko Switzerland.

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam Tanzania kwa mazishi inafanyika.
Familia imetoa maelekezo ya yeyote atakaependa kutoa mchango wake mchango wake ili mwili wa marehemu uweze kusafirishwa nyumbani kutoka Switzerland.

Watakaopenda kutoa michango yao watumie account ifuatayo ya familia ya marehemu
 Michango iwekwe kwenye

LLOYDS TSB BANK
A/C 12176968
SORT CODE 30-93-61

Kamati ya maandalizi inaongozwa na
Bw Mrisho Senga: 07536477586
Bw Fadhili Karanja: 07424064084
+255756444369
Bw Ally Sungura: 07405595831
Bw Issa Kibira: 07828198578

Familia, ndugu na jamaa inatanguliza shukrani za dhati

Ahsanteni


No comments: