Wadau mbalimbali jana usiku walijiachia kisawasawa katika usiku wakinywaji mwanana cha baileys pale Mlimani City jijini Dar es Salaam. Baileys kinywaji toka Serengeti Breweries Limited ilifanikiwa kuwakutanisha watu wa tasnia mbalimbali wakiwepo maofisa masoko, watangazaji, Wakurugenzi, wafanyabiashara na wasanii mbalimbali wa Filamu na mziki.
No comments:
Post a Comment