Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof. Salome Misana zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Meneja Mahusiano wa NBC, Robi Matiko-Simba (wa pili kushoto) na Naibu Mkuu wa Chuo Utawala, Prof. Bavo Nyichomba.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof. Salome Misana zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (wa pili kushoto waliokaa), Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto waliokaa) Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof. Salome Misana (kushoto kwa Robi) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya walimu wa chuo hicho katika hafla ambayo NBC ilikabidhi hundi ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof. Salome Misana zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (wa pili kushoto) na Naibu Mkuu wa Chuo Utawala, Prof. Bavo Nyichomba
No comments:
Post a Comment