Wake Wa Viongozi Wa Nchi Za Jumuiya Ya Madola kwenye Mkutano Wa CHOGM, Katika Picha Ya Pamoja
Wake wa viongozi wakuu wa mkutano wa nchi wanachama wa jumuia ya madola wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano uliofunguliwa na Malkia - 0ct- 28-2011. Watano kutoka kushoto na mke wa rais Mama Salma Kikwete
No comments:
Post a Comment