Ofisa wa Shirika la Nyumba akiomwonyesha mwandishi wa habari kutoka gazeti la Majira Mohammed Mambo karatasi iliyokuwa ikionyesha kiasi cha kodi wanachodaiwa MAELEZO na NHC.
IKIWA ni katika muendelezo wa kukusanya madeni na kuwatoa wadeni wake Shirika la Nyumba (NHC)leo asubuhi rungu lao lilitua katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) ambapo wafanyakazi wake wamejikuta wakilazimika kutoka nje kutokana na kudaiwa kodi ya miezi saba ambayo ni kiasi cha sh.mil.47 Ilifahamika kuwa Kodi ya mwezi waliyotakiwa kulipa ni sh.mil7,149,000.Kabla ya MAELEZO kupatwa na kadhia hiyo NHC walianza katika ofisi ya Utamaduni ambako wanadaiwa sh mil87 |
No comments:
Post a Comment