To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Sunday, October 9, 2011

Na Sisi Tuchunguzwe Afya Zetu!


Nini maana ya kuwa mgonjwa, mgonjwa  taabani, na mgonjwa mahututi? Hivi hatuoni, hata kwa picha, kuwa Dr Mwakyembe kwenye picha ya chini  anaonekana mwenye uwezo hata wa kumsindikiza kwa miguu mgeni wake hadi kituo cha basi. Yumkini Dr Mwakyembe ni mgonjwa, lakini, aliye taabani haonekani hivyo. Vyombo vya habari vinapaswa kuwa na umakini katika kuripoti taarifa zake.

No comments: