Sunday, November 6, 2011

AIRTEL TANZANIA NA LEAF TOBACCO ZAPANDA MITI TANGA UZINDUZI WA MICHEZO YA SHIMIWI

Washiriki wa Mashindano ya michezo ya SHIMIWI  2011 wakipanda miti katika shule ya sekondari ya ufundi Tanga wakati wa  ufunguzi  wa michezo  hiyo  inayofanyika mwaka huu Mkoani Tanga ambapo kampuni ya  simu za mkononi ya Airtel  imedhamini michezo hiyo na kushirikiana na kampuni ya Tumbako Tanzania TLT katika zoezi zima la kupanda miti.

No comments:

Post a Comment