Sunday, November 6, 2011

Mahafali ya ST John's University Tanzania (SJUT)

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akiwa na baadhi ya viongozi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohana (Saint John's University cha Dodoma katika mhafali ya chuo hicho Novemba 5,2011. Kushoto kwake  ni Mkuu wa Kanisa la Anglikan nchini linalomiliki chuo hicho, Askofu, Dr. Valentino Mokiwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Askofu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela.

No comments:

Post a Comment