To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, November 10, 2011

Anaswa Na Umeme Na Kufa Akiiba Transifoma jijini Mwanza

Mwili wa mtu aliyenaswa na umeme wakati akijaribu kuiba Transifoma ukishushwa juu na mafundi wa Tanesco Mwanza jana ukitolewa juu ya nguzo.

Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina lake ukiwa juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba transifoma jijini Mwanza jana.

Wafanyakzi wa Tanesco wakivuta kamba ili kuushusha mwili wa mtu aliyekufa baada ya kunaswa na umeme alipokuwa akijaribu kuiba Transifoma jana Jijini Mwanza.

No comments: