To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, November 10, 2011

Mjumbe Wa Kamati Kuu Ya Chama Cha Kikomunisti Cha China Awasili Nchini

Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimtambulisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenerzi Nape Nnauye, alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa CCM. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimlaki Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa CCM.

No comments: