To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, November 10, 2011

Waziri Kombani Ahimiza Umuhimu Wa Katiba Mpya

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Celina Kombani kulia akijadili katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Pindi Chana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Angelah Kairuki. Kamati imeendelea kuboresha Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Marekebisho ya Katiba ya Mwaka 2011.

Wajumbe wa kamati pamoja na wataalamu waalikwa.

Wajumbe wa kamati pamoja na wataalamu waalikwa.

No comments: