To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, November 9, 2011

Balozi wa Umoja wa Ulaya Aaga Rasmi


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo Pinda(kushoto) na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (katikati) wakisalimiana na kubadilishana mawazo na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa Tanzania Mhe. Tim Clarke mjini Dodoma leo. Mhe. Tim Clarke amekuja Dodoma kuliaga Bunge baada ya kuwa mwakilishi wa Umoja huo hapa nchini kwa miaka minne.



Spika wa Bunge akimpa Balozi Clarke zawadi ya saa ya ukutani yenye jengo la Bunge la Tanzania.



Spika Makinda akiwa na mazungumzo ba Balozi Clarke ofisini kwake leo.



Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Zungu Azzan, Bolozi wa Umoja wa Ulaya Tim Clarke, Mwenyekiti wa Kamati Mhe Edward Lowassa na Mjumbe wa Kamati Mhe. Khalifa S. Khalifa.



Balozi Clarke(kulia) pia alikutana na kujadili masuala kadhaa na Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (katikati). Kushoto ni mjumbe wa Kamati hiyo Mhe. Khalifa Khalifa.

No comments: