MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,akikabidhiwa mashine ya INCUBATORS, na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania,Sander Gurbuz,(katikati) mashine hiyo hupunguza Bilirubini katika mwili wa Mtoto, makabidhiano yaliyofanyika leo katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja,(kushoto) Mke wa Balozi Mama Durhan Gurbuz. |
No comments:
Post a Comment