To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, November 2, 2011

Prof. Shivji Naye Atoa Maoni Yake Muswada Wa Katiba Mpya

Profesa wa Kigoda cha Taaluma cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere - Chuo kikuu cha Dar es Salaam Prof. Issa Shivji, akiwasilisha mada wakati wa kutoa maoni yake mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Katiba, Sheria na Utawala juu yamabadiliko katika Muswada huo ya Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya 2011, ulioletwa na Serikali kwa kusomwa kwa hatua yake.

 Prof. Issa Shivji akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala baadhi ya vifungu vilivyomo katika Muswada Sheria wa Mabadiliko ya Katiba ya 2011, ambao unashughulikiwa na Kamati hiyo kabla haujawasilishwa Bungeni. Prof. Shivji alikua mnenaji mwalikwa mbele ya Kamati leo kufafanua baadhi ya vifungu katika muswada huo.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Katiba, Sheria na Utawala wakifuatilia mada juu ya Muswada Sheria wa Mabadiliko ya Katiba ya 2011, ilyowasilishwa na Profesa wa Kigoda cha Taaluma cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere - Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Issa Shivji, inayoendelea kupokea maoni yake Jijini Dar es Salaam

No comments: