Wataalam Waendelea Kuboresha Muswada Wa Katiba Mpya
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) akitoa ushauri wa kitaalamu na uzoefu kwenye Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Katiba ya Mwaka 2011 ambapo mwanasheria huyo mkongwe amwataka watanzania wote kwa ujumla kuwa kitu kimoja katika jambo hili.
Baadhi ya wataalam kutoka vyombo vya Ulinzi wakiwa katika kikao hicho.
Wajumbe na wataalam mbalimbali wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala, Kamati ya Mashirika ya Umma, Kamati ya Fedha za Serikali za Mitaa na Kamati ya Hesabu za Srikali wakiwa katika mijadala mikali-mikali leo.
No comments:
Post a Comment