Thursday, November 3, 2011

Waziri Mkuu Pinda Akutana Na Balozi Wa Finland Nchini

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kisalimiana na Balozi Finland nchini, Mhe  Sinikka Antila kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini  Dar es salaam Novemba 3,2011.

No comments:

Post a Comment