To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, January 19, 2012

Dr. Batilda Burian Aagana na Makamu wa Rais Dr. Bilal

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo Januari 19, 2012, kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini Kenya baada ya uteuzi wake. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo Januari 19, 2012, kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini Kenya baada ya uteuzi wake. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: