Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na Kamatibu wenzake wa NEC, kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. Kushoto ni Katibu wa NEC, Uchumi na fedha Mwigulu Nchemba na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa Januari Makamba. |
No comments:
Post a Comment