Mkuu wa Mkoa wa DSM Sadick Mecky Sadick (kulia) akipokea leo rasmi msaada kupitia kivuli kinachoonyesha vitu mbalimbali na thamani kutoka kwa mwenyekiti wa chama cha wafanya biashara wa kichina Tanzania ZHU JINFENG (katikati) kwaajili ya waathirika wa mafuriko jijini , Msaada huo umekabidhiwa jana kwa Makamu wa Rais Dkt, Gharib Bilal wakati wa sherehe za maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina wenye thamani ya shilingi milioni10. Pamoja na kukabidhi jan 15,2012 lakini leo wamewasilisha rasmi kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Meck Sadick jumla ya milioni 12.5 baada ya kuendelea kuchangia vitu vyengine vikiwemo mabati na saruji, (kushoto) Ni Mmoja wa ofisa kutoka chama cha wafanyabiashara wa kichina nchini Janson Huang . Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO. |
No comments:
Post a Comment