To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, January 17, 2012

Safari ya Regia Mtema

Maafisa Usalama wa Bunge  (Sargent at arms) wakiwa wamebeba Sanduku lililohifadhi mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kutoka Kilombero mkoani Morogoro, Marehemu Regia Mtema aliyefariki mwishoni mwa wiki iliyopita kwa ajali. Mwili huu ulikuwa unatolewa katika Hospitali ya taifa Muhimbili mapema leo kwenda Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo kunashughuli ya kuuaga mwili wa Marehemu kitaifa na baade kusafirishwa hadi Ifakara kwa Maziko yatakayo fanyika kesho. 



Maafisa Usalama wa Bunge  (Sargent at arms) wakiweka jeneza lenye mwili wa marehemu Mh Regia Mtema (MB) kwenye gari tayari kuelekea karimjee kwa heshima za mwisho asubuhi hii.

No comments: