![]() |
Muonekano wa gari hili la mizigo ambalo limeharibikia bara barani. |
![]() |
Mganga mkuu wa Hospitali ya Ifisi Dkt. Mbilinyi akiongea na moja ya majeruhi mapema leo. |
![]() |
Hawa ni majeruhi kati ya wale 14. |
![]() |
Baadhi ya Majeruhi walio nusurika katika ajali hiyo wakiwa katika Hospitali ya Ifisi kuelekea katika matibabu na kutazamwa kama wamepata matatizo yoyote. |
![]() |
Mmoja wa majeruhi ambae alikuwa anatokea Dar es salaam kwenda kuwasalimu ndugu zake Ileje aliye fahamika kwa jina moja tuu la Andendekisye akiwa katika Hospital ya Ifisi Mbeya Muda huu. |
![]() |
Baadhi ya mabaki ya vitu baada ya ajali hiyo jana usiku. |
![]() |
Hapa ndipo Basi la Prince Muro lilipo taka kuingia na kulikwepa gari hili na kupindukia upande wa pili. |
![]() |
Shimo hili limechimbika wakati wa ajali hiyo ilipo tokea jana usiku. |
![]() |
Hili Ndilo Gari la mizigo ambalo basi la Price muro lilitaka kulipita, na baadae kushindwa na kupinduka baada ya kukutana na Gari lengine mbele yake. |
![]() |
Basi la Price Muro Baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia jana likielekea Tunduma kutokea Dar es salaam. |
![]() |
Hivi ndivyo zinavyo onekana Damu na viti kuharibika vibaya baada ya ajali hiyo iliyo tokea jana usiku. |
![]() |
Likiwa linaonekana baada ya kupinduka. |
No comments:
Post a Comment