Ofisa Elimu Wilaya ya Monduli, Shaaban Mngunye (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa (wa pili kulia) wakati wa mkutano na walimu wa Shule ya Sekondari ya Engutoto, wilayani Monduli. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mwl. Ally Muyago na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, Joseph Lukumay. |
No comments:
Post a Comment