To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, March 15, 2012

Balozi Mulamula Kufanya Kazi Ikulu

Balozi Liberata Mulamula akiwa na Rais Jakaya Kikwete ofisini kwake Ikulu jijini Dar

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Msaidizi wa Rais Mwandamizi, Masuala ya Diplomasia.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Ikulu iliyotumwa kwa vyombo vya habari jana, uteuzi huo umeanza rasmi Februari 28, 2012.

Kabla ya kuteuliwa kwake, Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu mwanzilishi ambaye alimaliza muda wake mwaka huu na kurejea nchini.

No comments: