To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, March 15, 2012

Kampeni Za Ubunge CCM Arumeru Mashariki "Tupo na ninyi" wanafunzi wa shule ya msingi Msitu wa Mbogo wakisema huku wakionyesha dole gumba msafa wa mgombea ubunge wa CCM Sioi Sumari ulipowasili kwenye mkutano wa kampeni kwenye Uwanja uliopo jirani na shule

"Tupo na ninyi" wanafunzi wa shule ya msingi Msitu wa Mbogo
wakisema huku wakionyesha dole gumba msafa wa mgombea ubunge wa CCM
Sioi Sumari ulipowasili kwenye mkutano wa kampeni kwenye Uwanja uliopo
jirani na shule.

Sioi Sumari akiwaaga wapigakura wake baada ya kumaliza mkutano
katika kijiji cha Msitu wa Mbogo jana.


Mama Sioi(wapili kulia) akihiriki kuselebuka muziki wa hamasa za
Chama, uliporomoshwa katika kijiji cha Msitu wa Mbogo kata ya Mbuguni
kabla ya kuanza kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo jana

Pamela Sioi akimuombea kura mumewe, mgombea ubunge wa CCM, jimbo la
Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye kampeni zilizofanyika kijiji cha
Shambarai kata ya Mbuguni jimboni humo jana.

No comments: