To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, March 20, 2012

Kampeni Arumeru balaa, Mbunge anusurika kuchomwa moto!

Kampeni za CCM Arumeru

Arumeru
Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka jimboni Arumeru kunakofanyika kampeni za uchaguzi mdogo wa kuziba nafasi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari zinasema; Mbunge wa Korogwe Vijiji (CCM), Stephen Ngonyani amedai kuwa leo asubuhi ameponea chupuchupu kuuawa baada ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kuwaamuru vijana wa chama hicho wamchome moto, kisa amekanyaga eneo la gesti walimoweka kambi jimboni humo.

No comments: