TBC1 usiku wa jana imeripoti taarifa za ujio wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akitokea Ujerumani. Lowassa alitoa ufafanuzi wa safari yake ya Ujerumani na utata uliotawala juu ya afya yake. Ameweka wazi kuwa afya yake ni safi; hana kisukari wala stroke, Kwamba yuko fit kwa mapambano.
Pamela Lowassa Sioi (kushoto) ambaye ni mke wa mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM, Sioi Sumari akiwa na mdogo wake wakati wa kumpokea baba yao Edward Lowassa Uwanja wa Ndege jana.
No comments:
Post a Comment