![]() |
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa alipotembelea shule yao jana |
![]() |
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro. |
![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro. |
No comments:
Post a Comment