Monday, March 19, 2012

JK amuapisha Mkuu mpya wa JKT Tanzania

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miongozo ya kazi mkuu mpya wa JKT meja Jenerali Samwel Ndomba wakati wa hafla ya kumuapisha iliyofanyika Jana asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment