Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde (aliyevaa tai) akiongea mwishoni mwa wiki jijini Dar e Salaam alipotembelea ujenzi unaoendelea wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST). Ujenzi unajumuisha maktaba ya kisasa, vyumba vya mihadhara, jengo la utawala na nyumba za watumishi. |
No comments:
Post a Comment