For people who have old and new photos za Mlimanians mtutumie, pia kama kuna matangazo muhimu mfano harusi, msiba, ubatizo wa mtoto, kipaimara, kikao cha harusi etc na kukiwa na idhini ya mhusika mwenye hiyo shughuli mtutumie kupitia watotowamlimani@gmail.com au hata after shughuli husika mtutumie photos ili tuzitundike kwenye blog kwa faida ya Mlimanians wote.
2 comments:
Anonymous
said...
Tatizo ni kwetu sisi tunaoishi mbali. Wengi wetu tunarudigi nyumbani Summertime (and I mean WENGI).Hivyo na sisi tungependa saana kupata nafasi ya kuattend hili event. Hivyo mimi ningependa kushauri kwamba Sherehe Iamishwe July badala ya December. Pia hata ukizingatia swala la weather. December hali ya hewa ni Joto saana... Kama ikishindikana,kuweka July, basi ifanyike mara Mbili kwa Mwaka...
nionavyo mimi kuwe na group in between gap ambalo litakuwa na kiongozi ambaye atariport kwa muorganiserji mkuu kama ulimaliza 1986 utaongeza miaka mitano ambayo itakuwa 1991 there will be a group of 1986 to 1991 or1991 to 1995 and so on itakuwa rahisi kukutana na marafiki nadhani nimeeleweka

Mdau...

Post a Comment