Its My Birthday today 15 June Ni siku yangu ya kuzaliwa, najivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yangu Martha Mbibo kunihifadhi tumboni, kunileta duniani kunilea na kunifunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo nipo hapa nilipo kwaajili ya busara zake.
No comments:
Post a Comment