![]() |
| GENEVIEVE NNAJI akitoa wosia wake kwa Mercy,Genevieve ndiye aliyemfanya Mercy aingie katika uigizaji na miaka yote Mercy humuona Genevieve kama mwalimu wake katika sanaa hii. |
![]() |
| Stephanie Okereke akiingia ukumbini |
![]() |
| Kushoto ni muigizaji EMEKA IKE akiingia na kulia ni muigizaji wa Ghana Michel Majid wote walikuepo. |
![]() |
| Msanii 2shots(kushoto)akiwa na muigizaji Mike Ezuruonye harusini. |
![]() |
| Jim Ike(kushoto) na Keneth Okonkwo |
![]() |
| Muigizaji wa Ghana Yvone Nelson(kushoto),Waje na Empress Njamah (Nollywood) |
![]() |
| Comediana mfupi Nollywood Chinedu Ikedieze na mchekeshaji wa jukwaani AY. |
![]() |
| Kanisani |
![]() |
| Mercy Johnson |
![]() |
| Keki |











No comments:
Post a Comment