To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, September 27, 2011

Mkutano wa wadau wa African Tourism Annual Leadership Forum jijini New York

Balozi wa Umoja wa Africa (African Union) Mheshimiwa Amina S Ally akihutubia katika ufunguzi wa mkutano wa wadau wa kila mwaka uliofanyika New York University, New York nchini Marekani

Mheshiwa Amina S Ally katika picha ya pamoja ya wajumbe waliohudhuria mkutano huo, pamoja na Balozi wetu ni Makamu wa Rais wa Gambia Dr. Hajjat Assiat Njiaye (wa tatu kutoka kushoto) na Mheshimiwa Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Ezekiel Maige (wa pili kutoka kulia). Wengine ni watu maarufu Duniani.

No comments: