| Mwishoni mwa wiki UN Dar es Salaam walikuwa na tamasha la michezo la Familia. Pichani ni wafanyakzi hao wakivutana katika mchezo wa kamba waliofanyia pale Leaders Club. |
| Baadhi ya Maofisa wa UN kutoka Idara ya Habari wakiwa katika picha ya pamoja. |
| Hoyce Temu akishow Love na mmoja wa mabinti walijumuika siku hiyo. |
No comments:
Post a Comment